Mrembo Wema Sepetu Kushiriki Mazishi ya Aliyekuwa Team Wema Damu Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wema Sepetu amepata msiba wa mmoja wa followers wake damu kwenye mtandao wa Instagram, Japo hawajawahi onana lakini amefunguka haya:

By @wemasepetu .
Imeniuma kuskia Umetutoka lakini Imeniuma zaidi nilipogundua kuwa You were One of Team Wema Damu kabisa.... And after goin thru your page nikaona jinsi ilivyojaa picha zangu ndo nimezidi kuumia.... Ni njia yetu sote my love... Pumzika kwa amani kipenzi.... Dah... My Condolences to ndugu, jamaa na marafiki... Tulikupenda lakini Allah amekupenda zaidi.... RIP mamy.... @mwajuma_pesa @mwajuma_pesa @mwajuma_pesa @mwajuma_pesa .... Dah... Inshallah ntakuepo kwenye mazishi... Innah lillahy wa innah illahy rajiun...🙏🏼🙏🏼😊...
.
HAKIKA ALICHOAMUA KUFANYA WEMA NI MFANO WA KUIGWA HATA KWA WASANII /WATU WENGINE... TUSHIRIKI KATIKA MATATIZO YA MASHABIKI ZETU... SI LAZIMA MISIBA.
.
.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MWAJUMA MAHALA PEMA PEPONI.... WOTE TUSEME "AMEN "
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad