MSUKUMA(Mb) Awaponda Nape na Kitwanga, Ataka Kitwanga Ahakikiwe Vyeti..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma amewaponda mawaziri waliotumbuliwa na Magufuli Nape Nnauye na Charles Kitwanga kwa kuiponda serikali baada ya kutolewa kwenye uwaziri na kumtaka waziri wa elimu ahakiki vyeti vyao.

Amemshangaa Kitwanga kwa kusema sasa ameondoka kwenye uwaziri na ataanza kuisema serikali akiuliza kwenye baraza la mawaziri wanaambiwa nini.

Amemponda kauli ya kitwanga ya ku mobilize wananchi 10,000 kuharibu mtambo wa maji na kuhoji vyeti vyake vipi? 

Kuhusu kauli ya Nape kusema CCM haitarudishwa endapo haitatekeleza bajeti ya maji amesema sio kwdeli kwa kuwa miaka mingi hawatekelezi ilani na wanachaguliwa na wananchi hawawategemei kwa maji tu na bado muda upo

Pia amesema hela ya bajeti ya maji ni nyingi iwapo itatoka yote. amesema bajeti liyopita ilipangwa kutolewa bilioni 915 lakini mpaka leo ni 181 tu ndio imetoka
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad