Nawashangaa Wanaonihusisha Mimi Binafsi na Sheria ya Makosa ya Mtandao - January Makamba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, Mh. January Makamba katika mahojiano maalum na Kwanza TV ameeleza kuhusu uamuzi wake wa 'kupotea' kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu, 2015.

Pia asema katika vitu vinavyomshangaza ni kuendelea kuhusishwa yeye binafsi na utungwaji Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 (CyberCrime Act).

 Tazama Video:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad