AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baadhi ya Maneno Aliyokaririwa akisema Paul Makonda katika mahojiano yake na Star TV Leo...
'Ruge Anapaswa awaombe msamaha Watanzania kwa kuwatapeli kuwa Nilivamia Kituo chake'
'Tukio linaloitwa uvamizi kwangu ni igizo la Uvamizi'
'Clouds nilikuwaga naeda kula ugali na Maharage'
'Gwajima anajiita Askofu lakini sio Askofu kamili'
'Nimeuona uongo wa Ruge hadharani, Nimeouna utapeli wa Ruge Hadharani'
'Ruge ana akili ya kutunga nyimbo za mapenzi na Ng'onjera sio maendeleo ya Dar as salaam'
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Bashite anaakili kama lile kubwa jinga Le tumbozz.
ReplyDeleteLEKUNAKAZZ. MPE SOMO BASHITE KAMA LILE LA ULAYA ULONYIMWA WATOTO MPAKA LEO UNAANGAIKA.
ReplyDeleteMpe mambo
DeleteHuyu jamaa angetulia tu kama mwanzo haya mambo ya kutafuta KIKI yatamponza, sakata la vyeti hayajamaliza. Akae kimya akafanye shughuli za maendeleo ya wana Dar na taifa kwa ujumla siyo kukurupuka na kuanza kuamsha yaliyolala... Maoni yangu tu
ReplyDeleteasitufanye vipofu wakati cctv zinainesha akivamia
ReplyDeleteTUNATAKA VYETI.
ReplyDeleteAna tafuta kiki huyo Ameona kumepoa sana
ReplyDeleteKIKI hizooo Anaona kumepoa sana siasa bila amsha amsha za magazetini na kwenye luninga ndo hivyo mtu anamua kujitoa ufahamu... Vyeti hamna Labda arudi SHULE..
ReplyDelete