TLS chini ya Lissu Kama Kweli Wanaitakia Mema Tanzania Waungane Kuzima Wizi wa Acacia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tumesikia mengi kuhusu Acacia kutuibia Watanzania kwa kutumia mikataba, tena iliyoandaliwa na Watazania wenzetu. Kama taifa, hatuwezi kuendelea kulalamika na kunyoosheana vidole, ni lazima tuchukue hatua. Sheria sio Misahafu. Sheria zimewekwa na binadamu na zinaweza kufutwa au kurekebishwa na binadamu pia.

Pamoja na nguvu ya kifedha waliyonayo Acacia Watanzania wakiungana tutashinda hii vita ya kiuchumi. Sasa, TLS kama kweli wanaitakia mema Tanzania waungane na kusimamia mabadiliko ya sheria ili kufuta vifungu vya kinyonyaji na kuhakikisha kila kinachovunwa kwenye ardhi ya Tanzania kinalipiwa kwa haki, na sio kutumia huu ujanja wa 'commercially viable'.

Ni wazo tu
By Hekima Kwanza

Je Mdau Unaonaje Hapo?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wtz wanatakiwa wawe wazalendo kwa nchi yao. Nchi ya SA wakati wanafanya mabadiliko ya sheria za nchi yao mara baada ya siasa za ubaguzi walishilikisha raia wote kutoa maoni na wanasheria kuhusishwa na kipewa nafasi ya kitaaluma kupata namna ya kuandaa vipengere vya kisheria chini ya usimamizi wa wanasiasa waliokuwa na uchungu na nchi yao. Hakuna namna rushwa ingeweza kupata mwanya. Tz pia inawezekana.

    ReplyDelete

Top Post Ad