VIDEO..Mbunge wa CCM Atishiwa Bunduki na Polisi Dar..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika Serikali ya Awamu ya Nne. Adam Malima jana amejikuta katika wakati mgumu baada ya askari wa Jeshi la polisi kumtishia bunduki barabarani, tukio lililotokea Masaki karibu na Double tree Hotel jijini DSM.

Inasemekana majibizano hayo ya risasi yamefanyika baada ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara ingawa ndani ya gari hilo kulikuwa na dereva.

Kwa mujibu wa watu waliokuwa eneo la tukio wanasema kuwa gari hiyo iliyokuwa imepaki vibaya ilikuwa ikitumiwa na mtoto wa Malima ambaye alikuwa amekwenda IOM kwa shughuli zake.  
Tazama video hizi kujione zaidi 
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tena wangemshoot kabisa watu wanahangaika usiku na mchana ili sisi tuwe na amani halafu mnawadharau, eti 'unajua mimi nani? Hamnazo huyo mbunge.

    ReplyDelete

Top Post Ad