WAETHIOPIA Wafa Wakisafirishwa Kwenye Kontena..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


WATU nane wanaodaiwa kuwa ni raia wa Ethiopia wamefariki dunia kwa kukosa hewa wakati wakisafirishwa kwa njia za panya katika kontena la gari kwenda nchini Afrika Kusini.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma, Dismas Kisusi, akizungumza amesema tukio hilo limetokea jana saa 10.00 jioni katika kijiji cha Amani makolo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

Amesema Waethiopia hao ambao jumla walikuwa 33 walikuwa wakisafirishwa kwenye gari lenye mfumo wa kontena wakipelekwa Afrika kusini lakini walikosa hewa na kusabisha vifo hivyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad