AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kueleza kuwa Jeshi la Polisi tayari lipo eneo la tukio, hivyo watatoa taarifa rasmi za tukio hilo baadaye.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Naona vyombo vya ulinzi vizidi kujikita katika kufuatilia haya mauaji, pia naomba serikali itafute kiini cha tatizo kipo wapi.
ReplyDeleteTatizo linakuzwa na wananchi wenyewe hawataki kutoa ushirikiano, wanawafahamu fika wahusika wa mauaji hayo, ila wajue kuwa gharama ya kutotoa ushirikiano haitowaacha salama kwani wanaouawa ni ndugu zao hata kama sio wa damu. Huko kuna historia ya uasi hata wakati wa ukoloni wa Mwingereza ilitokea, walijaribu kuvamia boma la Utete lakini walidhibitiwa.
ReplyDelete