Kwanini CHADEMA Wanakwepa Kuulizia Hoja ya Richmond Kipindi Hiki cha Magufuli?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika kuchangia hoja zao haswa mitandaoni wafuasi wa chadema wanajitahidi sana kukwepa kuiongelea au kuiulizia kashfa ya Richmond.

Yaani katika mambo ambayo hawataki kumkumbusha Magufuli ni ufisadi wa Richmond.

Katika mambo ambayo Chadema hawataki kumuwekea mkono Magufuli apute ni kuhusu swala la Richmond.

Hivi hofu ya Chadema ni ipi kwenye hili?

Kwa nini hatuoni makala za kumtaka Magufuli ashughulikie Richmond?

Hatuoni makala zinazosema kwamba sisi wapinzani tulipigia kelele sana swala la Richmond.

Hofu ya Chadema ni nini?

Kwa nini Ufisadi unaongelewa kwa vipande vipande?

By Jingalao/JF

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahah! Hawaulizi kwa-sababu 'WALIBADILISHIA-GIA-ANGANI' hahahahah.....wamchokonoe mfadhili wao, hawajipendi! MKUKI-MTAMU-KWA-NGURUWE.........

    ReplyDelete

Top Post Ad