MEYA wa Rusha Calist na Mkuu wa Mkoa Gambo Mtafutano Waendelea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meya Calist Kushoto, RC Gambo kulia
 
Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro, amempa siku saba Mkuu wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo kumwomba radhi yeye na viongozi wa dini aliowaweka ndani wakati wakijiandaa kupokea rambirambi ya wafiwa wa wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent.

Akizungumza leo na waandishi wa habari Arusha, Meya Calist amesema kitendo cha kuwakamata wakiwa wamekusanyika shuleni hapo Mei 18, mwaka huu, kilikuwa ni ukiukwaji wa sheria na kwamba kabla ya kuwakamata alitakiwa awe na amri ya mahakama inayofafanua ukamataji wao, lakini haikuwa hivyo jambo ambalo anadai kuwa ni matumizi mabaya ya madaraka

Hata hivyo Mh. Calist amesema kuwa Mh. Gambo asipofanya hivyo baada ya siku hizo atampeleka mahakamani kwa kuwadhalilisha na kuwaweka ndani bila kosa lolote kwa kuwa hadi sasa hawajaambiwa kosa lao lilikuwa lipi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa kuwa mawakili wabure wasokuwa na kazi za kufanya mnao, we nenda mahakamani tu hata akiomba radhi

    ReplyDelete

Top Post Ad