AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa amesema haipendezi kuwaita wawekezaji wa madini wezi kwani waliwekeza kwa kufuata sheria na taratibu zote.
Amesema mara zote Rais wa CCM hukabidhiwa ilani ya chama ambayo ina sera kwa ajili ya utekelezaji wa masuala mbalimbali yakiwamo madini.
"Mtuambie (CCM) Sera yenu ya madini ni ipi?" amesema Msigwa.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hahaha! Hatukushangai saaana, maana ndio huyo-huyo Msigwa alosema 'atakae-mpokea-Lowasa-apimwe-akili'.........wakampokea, na debe wakampigia tehetehe eti tusiwaite WEZI basi tuwaite WEVI
ReplyDelete