VIDEO: Humphrey Polepole Aliamsha Dude Kwa Lowassa...Adai ni Mchochezi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu wa Itikadi na Uenezi amesema Humphrey Polepole  kuwa Serikali imchukulie hatua kiongozo aliyesikika hivi Karibuni akifitinisha kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu na Serikali.

Juzi aliyekuwa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chadema Edward Lowassa alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa Kilichodaiwa kuwa ni Maneno ya kichochezi aliyoyatoa kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu kwa Serikali.

Hata hivyo Polepole atoa neno kuhusu tuhuma anatuhumiwa Rais Mwinyi na Wapinzani.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapa mnamwonea ndugu Lowassa. Ebu ndugu Hamphrey, sema ukweli mbele ya Mungu. Kwa nini hamjawafungulia mashtaka miaka mitatu sasa. Hapa mnamtumia Nyerere vibaya, Mnapotosha Watanzania na mnaligawa taifa. Wawe waislamu, au Wakristo fanyeni haki. Wafungulieni mashtaka na di rumande miaka mitatu. Lowassa ni mkweli, si muoga. Viwanda unavingizaje hapa. Serikali ni Watu. Kijana msiwadharalishe viongozi waliopita na wenye maadili. Ni kati ya Wamassai yeye na Waziri aliyekufa Sokoine, na akauawa pia kwa mazingira tatanishi. Alikuwa pia tu wa watu. Ilibidi awe raisi wakamfifisha Wajanja. Hapa nakukatilia, mnajua wazi vipi mlimchagua Raisi magufuli kwa kumfunika Lowassa na bado mnaendelea kumnyanyasa. Watanzania Wanawasikiliza. Hawasemi sababu wanaogopa. Yupo madarakani, anayatumia madaraka yake kutafuta haki na ameampa kuwa mkweli. Msishangae kama mtazidi kuona mpasuko zaidi nchini. Watu mmewafunga midomo mjue hii. Na hii si tatuzi, hili linaingiza mpasuko zaidi.Mnataka kila Myu aone ndugu Magufuli ni Malaika na mkombozi peke yake. Mpaka watu wote waruhusiwe kuwa huru na maoni yao yapewe uzito sawa badala ya kuwafunika midomo.Ni Hatari kubwa. Kwa nini CCM isimchague mtu mwenye busara zaidi ya Huyu? Hakuna mtu hata mmoja?

    ReplyDelete

Top Post Ad