VIDEO: Onyo la Waziri Nchemba kwa Wabunge Wanaoshabikia Mauaji ya KIBITI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba alisimama Bungeni leo June 29, 2017 kujibu hoja za baadhi ya Wabunge wakiwemo wanaodai Serikali imeshindwa kumaliza tatizo la mauaji yanayoendelea katika Wilaya ya Kibiti, Pwani huku akiwaonya Wabunge kuacha kutoa kauli ambazo zitawasababisha kuhusishwa kwenye uchunguzi wa awali. VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizi comments za waziri ni nzuri lakini nawaombeni sana msikilize na kuzijali sana hizi kauli kutoka kwa wapinzani. Wapinzani wanaongea hoja nzito sana na ninawaelewa vizuri sana.wanachosema wapinzani ni kwamba msikimbilie kutoa maamuzi rahisi maranyingi.kwenye madini, nimewaelewa sana kuwa wabunge waonyeshwe mikataba, na upelekezi wa tume uonekane na pande zote mbili, ikarufiwa na ikajadiliwa vipasavyo na kusahihishwa vizuri. Hili wazo ni muhimu sana. Limechukua muda na miaka mingi hata kuchukuliwa maanani. Na sasa linazngumziwa makundi yote yahusishwe sawa na mijadala ifanywe wazi. Ni hao hao CCCm wametupelela huko, na ingawa raisi wa awamu ya tano ameamua kusahihisha ni lazima angewapongeza sana wapinzani kuyaibua hayo kwanza hajafanya. hiki ni kilio vha chadema miaka mingi sana. Kingechukuliwa maanani seriksli haingeingia kwenye hii mikataba mibovu na kuhujumu nchi.sasa inaonekana CCM hiyohiyo ni takatifu. Watu mbasahau haraka sana kwamba isibgekuwa uzembe wa ccm taifa lisingeangamia na kuibiwa kwa madini yetu kwa miaka yote hii. Vigeugeu ni CCM ambao kwanza hawajakiri kuwa wao ndio walioisababisha hasara hii. Pili ingewaomba radhi watanzania wote kwa miaka yote walioipotosha nchi na kuendelea kuruhudu eizi wa mali za umma na kuwafaidisha wachache. Na ni uongozi wa ccm nilikanusha pesa za escrow si za wsnanchi na kuwaachia viongozi wa escrow hadharani kugawana pesa hizo ingawa wapinzani walithibitisha kila kitu ns wsliwekwa ndani wengine kupigwa mabomu na wengine wamekufa. Leo CCM inajitakatisha kama kwamba di wso waliokosea. Kama kwamba si wanaccm ndio matatizo yote haya.kama kwamba si ccm ndiyo ilikataa kata kata kusikiliza hoja za wapinzani mwaka hata mwaka kwa zaidi ya miaka kumi. Leo watanzsnia mnakuwa wepesi sana kusahau mmefikaje hapo na kwa mara ya kwanza baada ya kupoteza mali zenu mnakuwa wrpesi sana kuishangilia ccm hiyohiyo na kusahau vita vyote vilivyotokea bungeni na mlipigilia makofi pia.watanzania ni watu wazito kuuelewa ukweli. Ni watu wadoopenda kuwa makini wa mambo yanayowakabiri na kusahau haraka na kuunga mkono vitu vyepesi bila kuzamia na kuuona ukubwa wa msmbo ysnayowakabiri ili wachanganue vizuri na kuyakomesha yadirufie tena. Ni rshisi sana kwa watanzania kupakwa mafuta tu ns wakakubali. Taifa lidilo na mshikio ws hali ya juu, litarufia tu kulekule bila kujijua ns madhara yake yatskuwa makubwa zaidi. Wengi wazee laabda watskuwa tayari wamefariki, ni nyinyi vijana msiosngslia uzito wa mambo haya nfio mtsbebedhwa mzigo huu mtsbaki hamna kitu bado mnawatumikia mabwana wsjsnja werevu bila kujijua. Mnaachilia mwsnya na kukiridhidha kirahisirahisi kwa maneno matsmu na mepedi. Mdichokijua kuna viongozi wamefsidika, wanalindwa, ni nyinyi madkini na vizazi vyenu mtaendeshwa na siasa zisizo na mwisho. Zitto anselewa hili, Lema, mnyika, na yule mbunge aliyekwrnda kuhiji kutoka kigoma, Halima Mdee, Tundu lisu, Mboye .kuna baadhi ya wabunge ccm wanaelewa lakini waoga. Wengi hawanauwezo wa kutambua. Mkijua uamuzi huu ni mgumu, ns inabifi muwe jasiti, mfsnye maamuzi magumu kwa faida ya taifa, naona bado mnarifhika ns porojo tupu zisizo na manufaa makubwa kwa tsifa hili na najidikia haya kubwa kwa viongozi wengi kukosa maarifa.ni shida kwa kweli.chagueni viongozi jasiri werevu, wenye maarifs. Wengi hawana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eeeh hii lugha mbona ngumu, umeandika nini hapo sasa.

      Delete
    2. Umeelewa vizuri sana ingawa spelling haikuwa sawa. Labda hutaki kuelewa. Wengi wameelewa ujumbe. Ukitaka kukosoa tu spelling na ujumbe umeukosa, basi ni mmoja hata ukipewa nyama kwako utaiona ni mboga ya majani tu. Ni tatizo la Watanzania wengi. mtakosoa kineno badala ya kupata ujumbe muhimu. Tumeingia kwenye mfumo wa kidunia bila kujiandaa kiakili na kisaikologia. Tunatimbanga tu . Utashi umelala haufanyi kazi. wengi mnataka gari, nyumba kubwa, vipikipiki toka china bila kujua mnatapeliwa nao wanawahamishieni utajiri wote chini ya mikataba ovyo, mtavaa vipensi kichwa kufikiri shida. Mtawafungulia milango wachina mpaka siri zote watazishika mkononi, nchi itabaki tupu na vijana wasio wazalendo lakini wamenyonga tai za kichina na nguo zenye lebo madeni china, madeni marekani, madeni japan, kwa magari na Ujerumani. Madeni haya ni mikataba mibovu mliyowapa hawa mabepari kuchukua dhahabu zenye thamani ya mabilioni bure kabisa kwa miaka nenda rudi. Bureeee.Leo mnapitisha tena haraka haraka bila kujua nini kilichomo kwenye mikataba yote ya nyuma kwanza. Ebu fikirieni ni nani tena anarudia makosa yaleyale ya mwanzo kwa haraka? niserikali ya CCM.Hivi Watanzania Tumekosa nini kwa Mungu kwa kutokuchukulia haya mambo maanani? Whats wrong with us?Hata ukifunguliwa macho yakawa wazi na kuonyeshwa wazi huwezi kufikiri kamwe. Mkijua haya maamuzi ya haraka yatawanyonya tena? Viongozi wengi hamuoni mnabakia kusema CCM versus Wapinzani badala ya kuwa kitu kimoja? Mbona Tatizo? hata watoto wadogo hawafanyi hivi. Mnaitia hasara serikali na aibu kubwa. Wanaowasifia ni wale Mataifa yaliyowaokota Watanzania . Inatia haya Jamani.

      Delete

Top Post Ad