Zari Ajibu Mapigo ya Baba Watoto Wake (Diamond)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Zari Ajibu Mapigo ya Baba Watoto Wake (Diamond)
.
Shutuma za Kuchepuka alizorushiwa Na Baba Watoto wake wawili ambae ni (Diamond Platnumz) zari Amepangua shuti la Tuhuma hizo, kwa kudai kuwa mwanaume aliyeonekana nae wakiwa wanakoga ni binamu Wa Marehem #IvanDon (Binamu kinyama cha hamu) na alie piga Picha ni Mke wa binamu huyo kama hapo unavyowaona kwenye picha
.
Zari ameandika kuwa alikutana nao kwa Bahati Mbaya kwenye Spa, Na akajitetea kwa kusema "Unapokua mwanamke muaminifu kwenye mahaba, mwanaume atakua anatafuta visababu ambavyo havipo Ili kuficha Machafu Yake na kugeuza Story za usaliti anaoutenda kwa kuhisi ww haujui, Chibu Nakuona Nakuonaaaaa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mtendwa akitendewa hujihisi kaonewa!

    ReplyDelete
  2. Hizo wamezirusha makusudi wenyewe ku buy attention yenu .

    ReplyDelete

Top Post Ad