MREMBO Gigy Money Akiri Kumnyatia/kummendea Kimapenzi Diamond Platnumz....Afunguka Kila Kitu Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia Uheard leo July 18, 2017 imemfikia hii mtangazaji Soudy Brown kuhusu Gigy Money kudaiwa kumtaka boss wa WCB, Diamond Platnumz baada ya video na Picha zao wakiwa pamoja zikionekana kwenye mitandao ya kijamii kwa kasi.

Soudy amemtafuta Gigy Money ambaye amedai kuwa watu wasubiri kwanza hayupo tayari kutoa siri kwani ni ya mtu mmoja huku akisema kumpenda mtu nikawaida na yeye yupo serious…

“Mimi nipo serious kabisa kawaida kumpenda mtu akikubali kuwa mateka anatekwa kwani shilingi ngapi..? najua anafamilia kabisa kawaida tu mahusiano yake nt ayaharibu vipi mbona yanaonekana kama yameshaharibika?


“Wangapi wanaonekana kama washapita tu, yeye mwenyewe mbona yupo tayari sema ntakuwa kama nakupa exclusive tulieni siri ya mtu mmoja nikikupa wewe kuna siri” – Gigy Money
Sikiliza Hapa Chini:
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad