MZEE Mkapa Yuko Sahihi,Tanzania Kuna Wajinga na Wapumbavu....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ulishaona nchi wageni wanawafanyia wazawa mambo ya ajabu halafu baadhi ya wanainchi wanashangilia!

Rais anasafishasafisha uchafu Serikalini baadhi ya wanainchi hawataki.!!

Viongozi wanaiba rasilimali za nchi na Rais anahakikisha viongozi wote wa hivyo wanatimuliwa na kushtakiwa baadhi yetu wahataki

Sasa tuwaitaje watu kama hao ambao kila Kitu wao hawataki.

By tramadol
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio suala la wapumbavu liliongelewa kwa watu wa chama fulani kwa sababu kiongozi waliemsimamisha kwa ticket ya uraisi wakati ule ndie kiongozi aliewapa kiki ya kisiasa kwa kuizodoa serikali kuwa kiongozi huyo ni chanzo cha ufisadi serikalini sasa inakuwaje mtu huyo huyo mliosema hafai kuwa uraiani kwa ufisadi jela ndipo anapostahiki mumsimamishe kuwa raisi wa nchi? Kama si upumbavu kitu gani? Na Lowasa kama si fisadi basi Chadema ni watu waongo na fitna hatari hata kuwa chama cha siasa kwani kina upotosha uma wa watanzania kwa maslahi ya siasa, na watanzania wanapaswa kuamka.

    ReplyDelete
  2. Ndio suala la wapumbavu liliongelewa kwa watu wa chama fulani kwa sababu kiongozi waliemsimamisha kwa ticket ya uraisi wakati ule ndie kiongozi aliewapa kiki ya kisiasa kwa kuizodoa serikali kuwa kiongozi huyo ni chanzo cha ufisadi serikalini sasa inakuwaje mtu huyo huyo mliosema hafai kuwa uraiani kwa ufisadi jela ndipo anapostahiki mumsimamishe kuwa raisi wa nchi? Kama si upumbavu kitu gani? Na Lowasa kama si fisadi basi Chadema ni watu waongo na fitna hatari hata kuwa chama cha siasa kwani kina upotosha uma wa watanzania kwa maslahi ya siasa, na watanzania wanapaswa kuamka.

    ReplyDelete
  3. Leo mnawsita wapinzani wapumbavu ambao kwa miaka 15 wamejitahidi sana kupigania haki, uhuru, na kuwaelimisheni fika, hawa ndio masisadi wakuu, hawa inabidi wachukuliwe sheria kali, hawa ndio wsliosaini mikataba mibovu yote, hawa nfio waliouza mabenki bei pos, ndio wslijiuzia nyumba za uma bei poa, ndio waliopokea rushwa na kufunguliwa account nje, ndio waliohusika na kutoa vibali kutorosha wanyama, kueinda wanyama, na meli zao zikitumika kusafirisha mapembe ya ndovu, walifunga mafuta bola mashine wakayaiba, wameuza na kujimilikisha uda, wsnakwenda nje kutibiwa msma zenu wsnazalia chini na matusi ya nguo wskipewa na manersi. Ni serikali hiyo hiyo mnaiunga mkono kuzidi kuidhorotesha sheria, kuminya uhuru sababu mkiwa huru haya yote niliyosndikwa mtayaona waziwazi. Kama nyinyi wenyewr si wspumbavu msiojijua kuwa ni wspumbavu hata ukionyeshwa evidence umejijua hivi. Soma tena ulichokiandika baada ya kusoma haya yangu, toa jibu la ukweli kabisa kama kwrli akili ipo na utashi wa kuchananua mambo kwa ni wapinzani wapumbavu kama Mkapa anavyotukana au mfumo wote wa ccm ni potofu kwsni ndio mfumo unaomdanganya Mtanzania wakijua wazi ni wspumbavu, ni wso wsmesema si mimi na wsjinga ambao ni wengi tumejaa Tanzania, na elimu zetu za ibabaishaji. Wanawanyima elimu safi ili mksndamizwe msione mbsli. Wstoto wso wspo nje wskisomeshwa bure kaa malipo ya uhissni, mnashangilia , kuwaunga mkono, wshujumu, huu ndio upumbsvu mkubwa. Inanishangaza na inaumiza sana . Kuona wengi wspumbavu akili zimekuwa twisted na chama potoshi.na watu hawsjitambui hata.watu wsjinga huzaa watoto wsjinga na taifa jinga na hatari yske ni hapa tulipo na tunakokwenda sababu ya upumbafu wetu sisi wenyewe ns kinachumiza zaidi ni kutokujijua ni wapumbavu na kutokukiri kuwa wapumbavu kwsni tutanyongonyea tukiujua ukweli.tutaumia sana. Tunaavoid ukweli.

    ReplyDelete

Top Post Ad