AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
"Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model .. Flaviana is a model, Herieth Paul is a Model, Millen is a model, Maggie Vampire is a model, Niler is a model, Lorraine is a model, Julitha, Cherie , Dax is a model, Ben breaker ni model, Lota, Dieitrich ni model na wengine wengi tu wanafanya runways na billboards na hata wale wanaofanya social media kwaajili ya maduka etc etc wapewe heshima yao... Huu upuuzi watu wanafanya na kusingizia ni modeling is rubbish kabisa unatangaza brand gani ? Vumbi ? Majani ? Mataulo ? ... Photographers wakiboya washaona gia ya kuwavua nguo ni kuwaita studio kuwagonga nude pics na kuwaambia nyie models ... Nyinyi ni Vyuchi sio models. Professional VYUCHI, international VYUCHI, overseas VYUCHI, VYUCHI unlimited supply ♂️ hawa VYUCHI hawatuachi salama " Idriss Sultan
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK