Country Boy "Kajala Ananilea Kama Mama Nyimbo yangu ya Kwanza Alinilipia Studio"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

COUNTRY BOY: Kajala Ananilea Kama Mama Nyimbo yangu ya Kwanza Alinilipia Studio
Rapa Country Boy ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Turn Up' akiwa na mkongwe Mwana FA amefunguka na kusema kuwa msanii wa filamu nchini Kajala Masanja anamlea vizuri na kusema kwake ni kama mama.

Country Boy anasema yeye na Kajala wanafahamiana muda mrefu na kudai kuwa hata wimbo wake wa kwanza kufanya Kajala ndiye aliyelipia fedha studio kwani yeye anatambua maumivu yake katika muziki wa bongo fleva.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad