Mwanamuziki Chin Bees Matatani....Akamatwa na Jeshi la Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki kutoka lebo ya 'Wanene Entertainment', Chin Bees anashikiliwa na Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam kwa kosa ambalo mpaka sasa halijawekwa wazi.

Hayo yamebainishwa na meneja wake Darsh asubuhi ya leo baada ya msanii wake kushindwa kuhudhuria kipindi ya FRIDAY NIGHT LIVE 'FNL' kutoka EATV usiku wa jana (Ijumaa).
"Naomba radhi kwa kitendo kilichotokea jana kwa msanii wangu  Chin Bees kushindwa kuja katika 'show' kutokana na kushikiliwa na polisi baada ya kubainika kufanya kosa alipokuwa katika show yake huko Zanzibar ambako mpaka sasa haijawekwa wazi", alisema Darsh.
Chin Bees kwa sasa anasubiriwa kupelekwa visiwani Zanzibar kwenda kujibu tuhuma zake ambazo zinamkabili.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad