Keisha Atilia Shaka Uwezo wa Gigy Money na Amber Lulu Kwenye Muziki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Keisha  Atilia Shaka Uwezo wa Gigy Money na Amber Lulu  Kwenye Muziki
Msanii wa Bongo Flava, Keisha ametilia shaka uwezo wa Amber Lulu na Gigy Money katika muziki huo.



Muimbaji huyo ambaye alitamba na ngoma kama Nalia, Uvumilivu, Nimechoka n.k, ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa haoni kama wasanii wapo serious.

“Gigy nadhani kama anatania hayuko serious, yeye na Amber Lulu wanajaribu bado sijaona ni serious musician,” amesema Keisha.

Hata hivyo Keisha hakusita kummwagia sifa Lulu Diva kwa uwezo anaoonyesha katika muziki wake, “anajitahidi, sijui nani anamtungia ana melody nzuri na akiongeza jitihada atafika mbali zaidi,” amesema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad