AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Marufuku hiyo imeelezwa inalenga kuwawezesha wakulima kunufaika na kilimo cha mpunga, kujikwamua na umasikini na kukuza uchumi.
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, James Ihunjo amesema hayo baada ya kuzungumza na wadau wa kilimo cha mpunga wakiwemo wakulima kutoka wilaya za Mvomero,Kilombero,Ulanga na Malinyi pamoja na mashirika na taasisi zinazojihusishana kusaidia wakulima wa zao hilo.
Ihunjo amesema wilayani mwake wameweka vizuizi viwili kudhibiti wafanyabiashara wanaokaidi agizo hilo.
“Mpunga unaouzwa lazima uchakatwe ili kuongeza thamani jambo linalomfanya mkulima aweze kufaidika,”amesema
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
some time hawa wakuu wa wilaya wanatoa maagizo kama walevi au hawana akili, sidhani kuna mtu asietaka pesa nyingi.
ReplyDelete