RC Mrisho Gambo Ajisafisha..Akabidhi Pesa za Rambi Rambi Milion 23 Zilizokuwa na Utata...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo jana tarehe 22 Agosti 2017 amekabidhi jumla ya milioni 23 kwa familia za watoto Doreen, Wilson na Sadia ambao walikuwepo nchini Marekani kwa matibabu kufuatia ajali mbaya ya gari waliyopata mwezi wa tano mwaka huu.

Mrisho Gambo amepata nafasi ya kukutana na familia za watoto hao pamoja na watoto wenyewe na kudai kuwa kupitia watoto hao na uponywaji wao ameona utukufu wa Mungu
"Leo nimekutana na familia za wazazi wa watoto Sadia, Doreen na Wilson ambao watoto wao walinusurika na ajali ya basi ya Lucky Vicent Mkoani Arusha. Aidha, tumewakabidhi 7,750,000 kila familia ili ziwasaidie kwenye masuala yao mbalimbali pamoja na Elimu. Nimeona utukufu wa Mungu kupitia watoto hawa" alisema Mrisho Gambo

Watoto Doreen, Wilson na Sadia wamerejea nchini Tanzania kutokea nchini Marekani siku ya Ijumaa ya tarehe 18 Agosti 2017 na kupokelewa na wananchi mbalimbali katika uwanja wa KIA akiwepo Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na viongozi wengine mbalimbali pamoja na baadhi ya wasanii wa injili akiwepo Mercy Masika kutoka Nairobi pamoja na  Angel Bernard
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad