Sabby Angel " Sijawahi Kufikishwa Kileleni ila Nasikia Diamond Anajua Mambo..Natamani Nifikishwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Sabby Angel asema kati ya wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi hakuna hata mmoja aliyewahi kumfikisha kileleni...! ..
"To be honest and sincere Sijafaidi raha ya mapenzi mpaka huu umri niliofikia ..HAKUNA Mwanaume aliyewahinifikisha Kileleni. Naamini bado sijaona raha ya mapenzi and am really hoping to get to experience that soon or later" amesema Sabby ambaye mwaka jana alikiri kuwahi kutoka kimapenzi na Ali Kiba na kusema almanusura penzi lake limuue

Aidha Sabby hakusita kuonyesha hisia zake kwa Diamond Platnumz kwa kusema.... "I personally think Diamond anajua mapenzi, Sio kwa muonekano tu but kwa vitendo. How he treats his women is Dreamy. I totally like Diamond Platnumz he is the perfect example of a real Gentleman...plus rumour has it he is totally Good in Bed but I just Heard" alisisitiza Sabby mwenye asili ya kibantu, kiarabu na kizungu ..
Anyhow, Mojawapo ya films maarufu za Sabby Angel akiwa ameigiza na mastaa maarufu ni Siri ya Giningi akiwa na Gabo Zigamba, Hard Price akiwa na Ray Kigosi na Wolper , Nimekubali kuolewa akiwa na Dr.Cheni, Sio Riziki akiwa na Mzee Majuto, Dude na Tino Hisani Muya ..
Sabby pia ni msanii wa Bongofleva miezi kadhaa alitoa wimbo wa "Inahusu" directed by Adam Juma, Aidha Sabby alikuwa finalist wa wawakilishi wa Tanzania kwenda Big Brother Africa 2014 ingawa sababu za yeye kutokwenda S.Africa hazikutajwa hivyo Idris Sultan na Irene La Veda kwenda BBA .
.
.
TOA MAONI YAKO HAPA
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Katika elimu ya mapenzi tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni si gonjwa la mwanamme peke yake hata wanawake pia. Kuna wanawake hata ukiwapeleka kwa dume la farasi basi hawatafika kileleni. Kwa afya ya utamu wa ngono kwa mwanamke aliekuwa na shida ya kufika kileleni vizuri kutumia vyakula kama parachichi au avocado lilochanganywa na tangawizi isiokuwa ya ghadhabu na kunyunyuziwa limao hata kama unampenzi unampenda mtengezee hii chakula mara kwa mara you can put little salt n pepper but not sugar. Nakuhakikishia hiyo chakula ni moja kati ya viagra ya kike. Na kama mwanamke anatumia sigara basi anaweza kusau kabisa masuala ya kufika kileleni. Nicotine sumu inayopatikana kwenye sigara si tu adui wa pesa yako bali ni adui mkubwa wa ufanisi katika tendo lako la ndoa na afya yako kwa ujumla na wanawake huathirika zaidi.

    ReplyDelete
  2. Ametaka tu kumtusi Ali Kiba.

    ReplyDelete

Top Post Ad