Uamuzi wa Wabunge Waliofukuzwa CUF Agost 25

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Uamuzi wa Wabunge Waliofukuzwa  CUF Agost 25
Mahakama Kuu imeahirisha kutoa hukumu juu ya pingamizi lililowasilishwa na wabunge wanane  wa Viti Maalum wa CUF kupinga Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaapisha wabunge wapya walioteuliwa na Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Msajili wa Vyama,  Prof. Ibrahim Lipumba.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano  anayeunga mkono upande wa Maalim Seif, Mbarala Maharagande, kesi hiyo imeahirishwa hadi  Agosti 25 mwaka huu itakapotoa uamuzi kuhusu suala hilo.

Maharagande aliyasema hayo alipoongea na waandishi wa habari baada ya kutoka  nje ya mahakama hiyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad