VIDEO:Bifu ya TID na Q Chief Yafika Pabaya....Warushiana VIjembe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii Q Chief amefunguka na kusema yeye hana muda wa kumjibu TID na kudai saizi yeye anaona ni muda wa kujipanga kwa ajili ya kazi zake na maisha yake kwani TID si mtu ambaye anaweza kuwa wa aina yake.

Q Chief amesema hayo leo kwenye kipindi cha Planet bongo kufuatia TID siku ya Ijumaa kupitia Friday Night Live kusema yeye hamtambui Q Chief na wala hamjui ndipo Q Chief aliposema hana muda ya kuanza kuhangaika kujibizana na TID.

"Mimi na Mnyama hatuna tofauti watu wanabidi waelewe kuwa Q Chief inabidi ajikite na kazi zake mimi nikichukua muda mwingine kumjibu TID maana yake ni kwamba natumia muda mwingi na nguvu kubwa kumzungumzia mtu ambaye anafanya kazi zake. Mimi naheshimu nini anazungumza na kile anafanya lakini Q Chief ni mtu aliyekuwa, mtu mwenye majukumu ambaye sasa anajaribu kutafuta njia ya kufanya vitu vizuri kwa hiyo sina muda wa kubishana na watu ambao najaribu kuwaweka kwenye viatu vyangu sioni kama vinawatosha" alisema Q Chief 

Mbali na hilo Q Chief alisema anamuheshimu TID pamoja na muziki wake ila akamtaka awe na heshima kwa watu ambao wamemfanya yeye ajione ni kati ya watu wakubwa Tanzania
Msikilize hapa Q Chief akifunguka zaidi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wacheni kupoteza wakati.mambo ya bifu hayawaongezei kipato wala mashabiki.nyinyi nyote ni MASTAA Wakubwa Tanzania.mukijiseti mutawapita wakina Diamond na Ali Kiba.Amuweni kwa pamoja toeni kitu cha maana .muone musiporudisha mashabiki wenu.kumbukeni mpaka leo ILE NYIMBO " nilikataa nilikataa sasa nimekubali we"badoiko juu

    ReplyDelete

Top Post Ad