Askofu Gwajima Aongea Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kuileta ‘Private Jet’ yake Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu kuileta PRIVATE JET yake Tanzania ambayo ameinunua Marekani. Kwenye hii video fupi hapa chini Gwajima amesema “Mimi nasema kwenye maisha yangu sishindwi hata sasa hivi nimekuja hapa Marekani narudi na Private Jet, nanunua…. why not? wale mlio Tanzania mnisikie anaeleta ngebe namkata ngebe kwa jina la Yesu“

 TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KUMTAZAMA….

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We Ngwajima...Hela unapataga wapi..
    Mishe mishe gani hizo.
    Magu kaziba mianya ya Hewa Yote.
    Edo haoni ndani..!! Au unakula na Fedeliki?
    Wewe chama chako ni Kipi? na nana mwenyekiti wako?

    Mie nilisikia unatuletea TLENI Je Ni kweli?
    Na Nikasikia pia Shida ya Umeme umesha itatua. Je ni kweli?

    ReplyDelete

Top Post Ad