Lazaro Nyalandu wa CCM Azidi Kumpigania Tundu Lissu..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ameandika haya Kupitia Facebook:


Tumekuwa NairobiHospital tukisubiri MADAKTARI watoe RIPOTI ya mwenendo wa MATIBABU ya Mh TunduLissu kwa minajili ya kuwapatia MADAKTARI BINGWA wa Marekani na kuona uwezekano wa Mh Tundu Lissu kupatiwa RUFAA kwa matibabu zaidi NJE.,

LAKINI bado KALAMU zao ni nzito kuandika RIPOTI hii siku ya tatu tangu tuahidiwe.

Binafsi, nimerudi NAIROBI tangu JANA kushiriki maandalizi ya uwezekano wa kumhamishia Mh TunduLissu Marekani kwa ajili ya huduma yenye ubora zaidi, endapo MADAKTARI wa NairobiHospital wangeridhia.

Kesho asubuhi nitarejea hospitalini kusikiliza kauli ya mwisho ya MADAKTARI kuhusu RIPOTI hiyo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. EEE MUNGU MJALIE KAMANDA TUNDU LISSU APATE KIBALI MBELE ZAKO ILI AENDELEE NA MATIBABU SEHEMU ZENYE UJUZI ZAIDI. AMEEN.

    ReplyDelete
  2. We jipendekeze, akipona akutukane kama alivyomtukana waziri wa katiba eti PROFESA BOGUS!! Huyo jamaa hana maana hata kidogo, anathamini chadema wenzie tu, hata kama wakikosea anaona sawa na wala hatii mdomo hata kidogo....anyway, TENDA-WEMA-WENDE-ZAKO...............

    ReplyDelete
  3. Ndugu Nyalandu wewe kama binadamu, Wewe kama Mtanzania, Wewe kama msomi, Umepitia mengi, Nimekuona kwenye kile kikao cha Patritic mkizungumza na wenzako waliosema hawataki kuitwa Wapinzani. Najua ndani ya moyo wako unajua fika kuna Mungu, kuna uonezi na kunamchezo mchafu wa kuchezea maisha ya binadamu kama kuku. Udharalishaji wa Maisha ambayo ni zawadi kubwa toka kwa Mungu. Uwe shujaa kusema ukweli wa mambo mahali panapotakiwa bila woga kwa Taifa letu. Mkijibanza kwenye kona tu, mjue mmebeba nchi na si chama. Umebeba Maskini, fukara, vilema, Tajiri, itafika wakati Mungu atakuuliza, ungesimama shujaa pengine mengi ungesaidia kuyaokoa.Its your duty as Mtanzania as Binadamu.Inafika wakati kutetea haki umepata elimu kwa kufanya hili. Wengi wenu mkisimama kama mlicyoongea kwenye lile kongamano, ambapo mlimhusisha yule mwigizaji wa Uganda mkafananisha na elimu inayotolewa Marekani kwa vijana wao kuanzia wakiwa wadogo. Nakuomba sana jitafakari Saidia Taifa kutendea haki vijana na nchi, Lakini nashukuru kwa unachokifanya kumsaidia ndugu Lisu aende nje. Bali usiishie hapo tuu, Jitoe mhanga dogo, Taifa linakuhitaji. Zaliwa upya tenda jema na muhimu kwa Vijana wa Taifa hili na Wananchi wetu. Kupitia Nyimbo, Elimu, na kukana udanganyifu wa kisiasa. You are only big if you can lower yourself but the reward you will gain is beyond your imagination. Dont sell yourself short. You are more capable than this.

    ReplyDelete

Top Post Ad