Faiza Ally amuweka Kiporo Hamisa Mobetto, awafumua Team Wema, asema wanatamani Maisha ya Zari ndio sababu ya Kumchukia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Faiza Ally amuweka Kiporo Hamisa Mobetto, awafumua Team Wema, asema wanatamani Maisha ya Zari ndio sababu ya Kumchukia, amsifia Diamond. Faiza ameandika.... .
.
"Nje na ndani ya nchi watanzania wana sifa za ukarimu lkn kwenye uhalisia wana sifa za umbea na chuki na uovu wa chini kwa chini. hlf wanawake wana asili ya uma** ya mnisamehe lkn maana hata ktk safari zangu za maisha ma**la wengi ni kutoka East Africa ni watanzania , wanaona  issue za Mabwana na wanaume ndio mpango wkt kuna mipango zaidi ! Na ndio maana hata ukiachana na mtu unaonekana labda u*hi mmbaya au tabia mbaya maana hawana fikra zaidi ya wanaume ..."

Ameandika na kuendelea "Tukirudi kwenye mada mimi naona zari mnamuonea nyie team wema ndio mliobadilika kusapoti ujinga mnasahau wema ndio alimuacha diamond , hamna mapenzi yoyote na hamisa waongo tu Ila kiukweli mnaweza kuua bila kujua mnaua kwa sababu ya team..." ameangia ndani zaidi kwa kusema

"Kiufupi mna weza mkahisi labda simpendi hamisa au nampenda zari hapana , yaani sijawahi kuwapenda wala kuwachukia lkn nikisimama kama mwanamke sisapoti kinacho endelea zari ni mwanamke kama wengine wote , hamisa ni mwanamke lkn bado mtoto mnajaza ujinga na hamta kuwepo wkt atakapo kuwa na maumivu ... na hamisa Ana jazika kuona labda uzuri wake uta last forever ! Hebu acheni upumbavu." "anyway, nikirudi kwa diamond nimemsifu amesimama kwenye ukweli nimefurahi sana na nimemfurahia hamisa pia maana najua uchungu wa mtoto kukosa baba, hata Kama Ana makosa lkn mtoto hana kosa lkn nimefurahi zaidi diamond kuwa mwananume enough ku simama kwa ajili ya familia yake na mapenzi yake kwa zari !" amesisitiza "Sasa ktk swali nililo uliza hapo juu jibu ni hili ! Zari mzuri,zari kijana, zari Ana maisha mazuri , zari star , zari Ana mume star. Zari Ana watoto wa zuri zari Ana almost kila kitu kizuri nahisi hadi Dudu lake zuri na hichi ndio kinacho wa fanya mmchukie for no good reason na wote mnao mchukia mnatamani maisha yake lkn mnasahau Mungu amemchagua, " "kiukweli hakuna kama zari na akija itakua zilipendwa lkn kwa sasa zari ndio star mwanamke east Africa nzima na sio star njaa... ndio maana mna mnafurahia matatizo yake !
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. atuondelee stress zake za Sugu. kaona hana njia ya kupata pesa sasa bora ajipendekeze kwa bi vuzi labla atapewa chochote

    ReplyDelete
  2. mjaalana huyo, sugu kamtoa nishai sasa anaangaika kama mbuzi wa hitma.

    ReplyDelete
  3. saa nyingine unaongea ya maana Faiza!! Zari yuko juu sana kumfikia sio rahisi. wabongo mtatukana sanaana Zari kawapiga bao hata mfanye nini haifutiki. kwa kila kitu yuko vizuri saana. mtahangaika sana wabongo. Zari keep it up. wanakuonea WIVU!!!WANATAMANI MAISHA YAKO !!!

    ReplyDelete
  4. yuko juu angani au.. na wapi uliiona acount yake au unababaishwa na mapicha. nani asokuwa na gari au hiyo nyumba aloandika jina la Almasi mwenyewe. hata watoto hajawaandika, toa tongotongo wewe. ndo maana Sugu kamuwacha uchi na wazimu wake kama wewe Anony.11.02

    ReplyDelete
  5. hahahaha! Eti Zari ana mume star!! Tangu mumewake afariki bado hajaolewa, sema Zari ana HAWARA star hapo utaeleweka, maana Domo mwenyewe amesema hawezi kuoa kwa kukurupuka, kwa hiyo nafasi ya ndoa kwa domo bado ipo wazi, anaweza kumuoa mwanamke mwingine tofauti na Zari na Hamisa.....

    ReplyDelete
  6. kweli kabisaa, hata huyo Ivan alimvisha pete tuu hakumuoa japo Ajuza alibadilisha mpaka dini ili aolewe! sasa kwa Dai wanajifanya oohh mkeo sijui nn jambeaneni mbeleeee, hasahuyo anony 15,50. nina wivu na hny wangu sio hao mahawala wanozini na kuleta watoto wa haramu.Bitch yourself.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pole wee inaelekea roho inakuumaje ha ha ha!!!!

      Delete
    2. Malaya asie na bahati inamuumajee hahaaaaa

      Delete

Top Post Ad