Makahaba Wakaliwa Kooni na Serikali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Makahaba Wakaliwa Kooni na Serikali
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kwa ushirikiana na Wizara ya Mambo ya ndani, na Ofisi ya rais TAMISEMI imesema itahikikisha Wanawake wanaojihusisha na biashara ya ukahaba wanaendelea kukamatwa ili kulinda hadhi ya mwanamke.

Hayo yamebainishwa leo Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya jamii, jinsia Wazee na watoto, Dkt. Hamis Kigwangala na kuwataka kuacha mara moja na kutafuta shughuli nyingine ya kujiingizia kipato.
Dkt. Kingwangala ametumia furasa hiyo pia kuwaasa wanaume ambao ndio wateja wakubwa wa biashara hiyo kuacha mara moja kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria.
Katika hatua nyingine Dkt. Kingwangala amesema serikali imepiga hatua ya kupambana na watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na hatua kadhaa wamezichukua ikiwemo kuzifungia baadhi ya taasisi zilizokuwa zinaashiria kuwasaidia watu wa aina hiyo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad