Mwanamume Aliyekuwa Ameficha Kilo Moja ya Dhahabu Kwenye Utumbo Wake Akamatwa Sri Lanka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamume Aliyekuwa Ameficha Kilo Moja ya Dhahabu Kwenye Utumbo Wake Akamatwa Sri Lanka
Mamlaka nchini Sri Lanka zimemkamata mwanamume ambaye alijaribu kusafirisha dhahabu na vito vya karibu kilo moja, alivyokwa ameficha kwenye utumbo.
Maafisa wa forodha walipata gramu 904 za dhahabu yenye thamani ya dola 29,370 ndani ya utumbo wake.
Choo kilichotengezwa kwa dhahabu kutumika na umma
Mwanamume huyo raia wa Sri Lanka mwenye umri wa miaka 45, alikuwa safarini kwenda nchini India, lakini akasimamishwa kwenye uwanja wa kimataifa wa Colombo.
Kumekuwa na visa kama hivyo miaka ya hivi karibuni.
Watu hununua dhahabu maeneo kama Dubai na Singapore ambapo bei ni ya chini na kisha kuisafirisha hadi India ambapo bei yake ni ya juu.
Majambazi waiba dhahabu ya kilo 70
Maafisa wa forodha waliiambia BBC kuwa walimshuku mwanamume huyo kwa sababu alikuwa akiotembea kwa njia isiyo ya kawaida.
Vifaa vya kutambua chuma kisha vinatambua mkoba uliokuwa umefungwa mfuko wa plastiki na kufichwa ndani ya utumbo.
Aliyefunga kilo 25 za dhahabu kwenye mapaja akamatwa uwanja wa ndege
Wiki iliyopita mwanamke mmoja raia wa Sri Lanka alipatwa na maafisa wa forodha akiwa ameficha gramu 314.5 za dhahabu kwenye utumbo wake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad