Nina Stess na Kazi ZanguSiyapi Nafasi Mambo Ambayo Yataniaribia- Amber Lulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nina Stess na Kazi ZanguSiyapi Nafasi Mambo Ambayo Yataniaribia- Amber Lulu
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyejipatia umaarufu kwa kupiga picha za utupu, Amber Lulu amesema sasa hivi ana 'stress' za kazi zake hivyo hataki kuyapa nafasi mambo ambayo yatamuharibia.

Akizungumza na mwandishi wa East AFrica Television, Amber Lulu amesema sasa hivi hataki mambo ya skendo ikiwemo kujibizana na 'video queen' mwenye sifa kama yake Amber Ruth, pamoja na picha za utupu ambazo ndiyo zilimpa umaarufu.

"Hivyo vitu siwezi kuviendekeza tena sasa hivi, nina 'stres' za kazi zangu. Nimetia pesa kwenye kazi sasa lazima niwe makini na masuala ya msingi", amesema Maber Lulu.
Amber Lulu hivi sasa ameamua kufanya muziki ambapo mpaka muda huu ana kazi mbili sokoni, ikiwemo 'watakoma' na 'Give it to me'.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad