Mashinji Agomea Wito wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mashinji Agomea Wito wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema hawezi kwenda kuripoti Polisi kama alivyotakiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto kwa kuwa hakuambiwa siku maalumu ya kwenda.

Kamanda Muroto amemtaka Dk Mashinji afike ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya jinai mkoani Dodoma au ofisi kama hiyo iliyopo Kituo cha Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ili kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo kuhusu tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.

“Nina taarifa za kuitwa Polisi, lakini haziko ‘specific’.  Ni wakati wowote naweza kwenda? na hawajasema nikaripoti wapi. Kwa hiyo, wakinihitaji watakuja kuniambia,” amesema Dk Mashinji akizungumza na Mwananchi.
Lissu alipigwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7 mchana alipokuwa akielekea nyumbani kwake Area D mjini Dodoma.
Kwa sasa Lissu anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi, Kenya.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad