AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais Magufuli ameyasema hayo leo wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambako ameende kuzindua barabara ya lami iliyojengwa kwa bilioni 32.5 ya KIA- Manyara, na kusema kwamba ni lazima ulinzi huo uwekwe ili kuokoa rasilimali za Tanzania zisiendelee kuibiwa na nchi kubaki masikini.
"Eneo la Simanjiro kuanzia Block A mpaka Bolock D ambalo lina madini mengi, ninaagiza Jeshi la wananchi likishirikiana na Suma JKT, waanze kulijengea ukuta eneo lote, wataweka fensi juu na wataweka camera, patawekwa mlango mmoja na itawekwa mitambo maalum, hata kama utameza Tanzanite itaonekana, hata ukificha kwenye kiatu itaonekana", amesema Rais Magufuli.
Rais Magufuli atakuwepo mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku 3, ambapo pia atatoa kamisheni kwa maafisa waliohitimu mafunzo ya jeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Septemba 23, 2017.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sawa Sawa Baba...!! Tumeibiwa sana Mkuu... Tafadhali piga full stop.
ReplyDeleteTanzania si nchi ya kuomba... Ni tajiri.
Sisi si wakukosa Dawa Hospitali and kuona kina mama wanafia katika Uzazi na mengine mengi.
Mungu akuweke utunyooshee nchi yetu and wanaopewa Dhamana za usimamiaji ni lazima wawe Waadulifu.
Well done magufuli
ReplyDeleteHaitosaidia kitu chochote wasting money and time for nothing ukweli ni kuwa wizi utaendelea tu kama kawa no matter what mbongo ameishazoea kuishi kwa kupiga dili humwambii kitu ukiziba hapa yeye anafukua kule anaendeleza libeneke kazi hakuna na hata hizo chache mtu akipata nafasi ya kufanya kazi mshahara wenyewe mbuzi sasa unafikiri mbongo atakuelewa?Wewe ni jeshi la one man army against millions of Tanzanians who are poor

ReplyDelete