Sauti ya Maongezi Duma Akimwaga Cheche kwa Agines Yavuja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sauti ya Duma Akimwaga Cheche kwa Agines Yavuja
Bado picha linaendelea, ikiwa ni siku cheche toka muigizaji wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ Daudi Michael maarufu kama Duma kumtambia muigizaji Gabo Zigamba kuwa ana demu mkali, sauti ya maongezi kati ya muigizaji huyo na mrembo Agness zimevuja mtandaoni.

Sauti hiyo iliyovuja imesikika Duma akisijisifu kumpenda kwa dhati mrembo huyo, hata hivyo kumekuwa na stori kuwa Duma anatafuta kiki katika tasnia ya burudani Bongo kwa mtumia mrembo huyo ambaye ni maarufu kwa kupiga picha  za utupu mtandaoni

Juhudu za kumtafuta Duma zinaendela licha ya kuwa zimekwama baada ya mtu wake wa karibu kudai kuwa Duma yupo nchini Kenya kikazi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad