AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kampuni ya Udalali ya Yono ipo Mbweni JKT kupiga mnada ghorofa mbili za kampuni hiyo ya Lugumi.
Akizungumza wakati wa Mnada huo Mkurugenzi wa Kampuni ya Yono Scolastica Kevela amesema nyumba ya kwanza imefikia Shilingi 460 milioni lakini bado haijapata mteja.
"Wateja waendelee kujitokeza na tutabaki hapa hadi saa 12 jioni" amesema Kevela
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
atakae nunua si atashikwa na Magu na kuulizwa kapata wapi pesa?
ReplyDelete