Zari Naye Ajibu Mapigo..Aposti Picha Akiwa Kwenye Kidate (Outing) na Mwanaume Mwingine

 Zari Ameamua Kufanya ile inayoitwa Mwaga ugali na mie nimwage Mboga, Baada ya tetesi kuwa Diamond alikuwa Zanzibar na Mrembo Dillish.....Leo amekuwa bize kwenye mtandao wake wa Instagram akionyesha kuwa nae ana mtu wake mwingine zaidi ya Diamond ambae wameenda nae Kidate, Mchana alipost picha hiyo hapo chini yenye Caption "Lunch Date" na jioni hii ndio akamalizea kabisa na Picha inayoonyesha Class mbili na kinywaji ikiwa na maana kuwa yupo somewhere na someone special
Toa Maoni yako

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo ndo faida ya kuwapanulia watoto wadogo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad