Breaking News: Mayanja Ajiuzulu Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Breaking News: Mayanja Ajiuzulu Simba
Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amejiuzulu kuifundisha timu hiyo, huku akiweka bayana kwamba ni kutokana na sababu za kifamilia.

Tangu jana Jumanne usiku kulikuwa na taarifa za kufukuzwa kocha huyo na uongozi wa klabu hiyo, lakini tayari ameweka wazi jambo lililomsukuma kuachana na Wekundu hao wa Msimbazi.

Mayanja ameachia ngazi, huku Simba ikiwa inaongoza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 12 sawa na wapinzani wao Yanga, lakini wakizidiana mabao ya kufunga na kufungwa.
Kikosi cha Simba kinatarajia kuikaribisha Njombe Mji kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wikiendi hii.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad