AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo ametoa agizo hilo leo Alhamisi.
Halmashauri hizo ni Mwanza, Mbeya, Moshi, Singida, Kigoma, Karatu, Mbinga, Pangani, Mbinga, Morogoro, Igunga na Kongwa.
Jafo amesema hadi Septemba 30 bodi imetoa mikopo yenye thamani ya Sh9.7 bilioni kwa halmashauri 54 nchini.
Amesema hadi Septemba 30 fedha zilizorejeshwa ni Sh6.6 bilioni.
"Halmashauri nyingi zimejitahidi kurejesha mikopo kwa wakati lakini kuna zilizoonyesha usugu katika kurejesha mikopo," amesema.
Amesema kutorejeshwa kwa mikopo kunasababisha halmashauri nyingine kukosa fursa ya kukopa.
Jafo ameiagiza bodi kuangalia utaratibu wa kupitisha mikopo inayolenga ujenzi wa viwanda na uwekezaji katika halmashauri ili kukuza ajira na uchumi wa viwanda.
"Bodi iache kubweteka, ijipange kimkakati kujenga uwezo mkubwa wa kutoa mikopo kwa halmashauri zilizo makini katika mapinduzi ya viwanda," amesema.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hongera Jafo.
ReplyDeleteAsyerejesha anaingua katika Black book na uongozi unabasilishwa baada ya kuwafikisha katika mkono WA sheriaSHAMBA LA BIBI LILISHAUNGUA MOTO KABLA YA AWAMU HII. SASA HAPA NI KAZI HALALI NA UADILIFU NA SI VINGINEVYO.
KAMA ILINUMUA NYUMBA ZA MALAZI TUTAZIUZA NA PESA ITARUDISHWA HILI LINAELEWEKA
Nadhani katika mawaziri wapya Jafo ni mmoja miongoni mwa wachache watakaokuwa na smooth transition.
ReplyDelete