Livepool, Manchesster United Kuonyeshana Ubabe Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Livepool, Manchesster United Kuonyeshana Ubabe Leo
LICHA ya kuwa Kocha Jose Mourinho amekuwa na rekodi nzuri ya kuifunga Liverpool, lakini nguli wa Liverpool, Kenny Dalglish anaamini kocha huyo ataingia uwanjani leo kwenye Uwanja wa Anfield na ‘kupaki basi’.

Mourinho akiwa anaiongoza Manchester United, watakipiga na wapinzani wao hao katika Premier League na tayari presha imekuwa kubwa kuelekea mchezo huo.

United imekuwa na kasi kubwa ya kufunga mabao ambapo imeshapata ushindi wa mabao manne katika mechi sita za hivi karibuni lakini hilo siyo kitu kwa nguli huyo kuamini kuwa United itaingia kushambulia.

Dalglish amenukuliwa akisema: “Miaka mitatu iliyopita Jose akiwa na Chelsea aliifanya kazi hiyo ya kuzuia vizuri walipokuja hapa (Anfield), naamini hata sasa atafanya hivyo pia
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad