AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Imeelezwa kwamba mwanadada huyu alipimwa na kukutwa na ugonjwa huo wiki tano zilizopita jambo lililopelekea mchumba wake Will Arnold aliyekuwa amepanga kumvalisha pete ya uchumba binti huyo mwishoni mwa mwaka huu kuamua kumchumbia binti huyo na kuanza mipango ya harusi.
Arnold, 38, alieleza kuwa kila kitu kilitokea haraka sana na daktari aliwaambia kuwa Katie kutokana na ugonjwa huo alikuwa amebakiza miezi michache tu ya kuishi kama sio mwaka mmoja hivyo ilibidi waandae harusi ili kumalizia siku hizo za Katie kama mume na mke na hata mpango wao wa kwenda Paris kwenye honeymoon haukufanikiwa kwasababu ya hali yake kiafya.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK