Waziri Mwakyembe Atoboa Siri ya Kutibu Saratani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri Mwakyembe Atoboa Siri ya Kutibu Saratani
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewaomba watanzania kutambua kwamba saratani ya matiti inaweza kutibika hivyo ni wajibu wao wa kuhakikisha kwamba wanajiwekea utamaduni wa kuchunguza afyaili waweze kupata matibabu mapema kama watagundulika kuwa nayo.

Dkt. Mwakyembe amesema hayo leo jijini Dar es salaam wakati alipoongoza matembezi ya hisani ya kuchangisha fedha kiasi cha shilingi milioni mia moja zitakazosaidia matibabu kwa wagonjwa wenye saratani ya matiti hususani wakina mama ambapo matembezi hayo yameandaliwa na Tanzania Breast

Aidha Dkt. Mwakyembe amebainisha kwamba serikali imekuwa ikitumia gharama kubwa kutibu saratani ya matiti kutokana na wengi waliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa huo kushindwa kufanya uchunguzi wa afya zao mara kwa mara.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad