Sheikh Ponda Ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Leo, Asindikizwa na Jopo la Wanasheria

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shekhe Ponda ameripoti polisi tayari huku akisindikizwa na jopo la wanasheria wakiongozwa na makamu mwenyekiti CHADEMA Bara mhe Prof Abdallah Safari na kwenda moja kwa moja kwa Kamanda wa kanda maalum ya Dar

Tutazidi kujuzana...
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watanzania inabidi waamke nchi yao inapoelekea au inapopelekwa. Kuna taasisi zinalazimisha kuipeleka Tanzania pabaya moja ya taasisi hizo ni wanasiasa hasa wanasiasa wa upinzani wakiongozwa na Chadema. Vipi leo Chadema wanaungana na sheikh Ponda kuchochea siasa za udini nchini? Masuala ya udini na ukabila ni hatari kuyaingiza katika siasa za nchi. Si dhani kama bado Chadema kina stahili kuwa chama cha siasa nchini kutokana kuwa na misingi ya wazi ya kupandikiza chuki nchini. Tunaiachia serikali na msaji wa vyama vya siasa kuliangia hili la ubia kati ya shekh ponda na chadema wanalionaje? CUF ZANZIBAR wanamsherekea sheikh ponda lakini hakuna asiejua kuwa CUF ZANZIBAR ni Mwamsho ni chama chenye kusapoti vikundi vya kihalifu wenye mitizamo ya siasa za chuki kwa visingizio vya imani za dini. Chadema kujitoa hadharani kumsapoti shekh Ponda ni dhahiri wamejipambanua kuwa wamekusudia kuiangamiza nchi kwa kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa watanzania. Mtanzania Ikiwa wewe Chadema au CCM uwe muislamu au mkiristo au uwe huna dini hili suala la kutumia dini au viongozi wa dini kuleta fitna nchini kwa wananchi kwa kisingizio cha siasa na uhuru wa kidemokrasia ni suala la kulaniwa kwa nguvu zote .

    ReplyDelete

Top Post Ad