AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
DK Shika ambaye alikuwa katika muonekano ambao haufananii na utajiri anaoutangaza kuwa nao, weekend hii ameonekana akiwa amevaa suti kali.
Wadau wa mambo wanadai kuwa mzee huyo mashuhuri mitandaoni amepata deal kubwa katika kampuni moja kubwa la michezo ya kubashiri.
Huwenda akapata deal nyingi zaidi kutoka na umaarufu alionao kwa sasa
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Suti imependeza na tumbo lake flat fit for the suti. Akiweza kumentain shape yake Itapendeza
ReplyDelete