AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu dogo anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake hata kama umeachana na mwanamke huwezi kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;
Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..
Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay metudisappoint 90% ya wanawake Tz.
Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
VIDEO:
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kaoge then ndo uiskilize hii nyimbo halaf uone kama itakugusa tena
ReplyDeleteMbona ukweli mwanamke usafi na kujituma kwenye mapenzi siyo mtu anakua kama kifaru cha vita.
ReplyDeleteUKWELI UNAUMA JAMANI, MBONA WALE WALOAMBIWA WANA VIBAMIA HAWAKUNUNA
ReplyDeletehttps://www.youtube.com/channel/UCEqoaHvUdR74IlgA66nNo9A?view_as=subscriber
ReplyDeletehttps://www.youtube.com/channel/UCEqoaHvUdR74IlgA66nNo9A?view_as=subscriber
ReplyDeleteView Raila's reaction
https://www.youtube.com/channel/UCEqoaHvUdR74IlgA66nNo9A?view_as=subscriber
ReplyDeletehttps://www.youtube.com/channel/UCEqoaHvUdR74IlgA66nNo9A?view_as=subscriber
ReplyDelete