AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
.
From @lemutuzsuperbrand_ - KARIBU JEMBE Mwanasheria Msomi na maarufu Duniani @albertomsando karibu sana CCM ....KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!.....karibu ufurahie matunda ya Uongozi Shupavu wa Rais Magufuli yaani "UONGOZI UNAOACHA ALAMA".....kuondoka kwa JEMBE HILI kunaacha Pengo kubwa sana maana huyu alikuwa ndiye NGOME HASA YA UPINZANI AT SOCIAL MEDIA ........KARIBU JEMBE HILOO @albertomsando ......HAHAHAHA KIDUMU CHAMA TAWALA! - le Mutuz
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
anajua kapata Mabasha wapya, watamshughulikia vizuri.
ReplyDeleteanawashwa washwa huyo. hana family kutwa kutwa kutafuta marijali wamshughulikie yeye na Bashite.
ReplyDeleteChadema mkipigwa mnakimbilia kuokota mawe.Yaani Chadema ni Vilaza hasa. Matusi ya Nini? Fisadi Nyalandu alipotangaza kuihama CCM mlichonga mno kama vile aliehama ni mtu wa maana wakati kila mtanzania anajua yakuwa Nyalandu ni makapi ya CCM. Chama cha Chadema kinakufa hilo suala halina ubishi. Chama gani chenye itikadi ya ukanda? Chama gani chenye kuendesha siasa zake katika misingi ya chuki? Magufuli na serikali yake wanafanya kazi ambayo watanzania wengi walikuwa wakiililia kufanywa na serikali yao kwa miaka mingi. Sasa kitu gani kinachowapelekea Chadema na upinzani kumpiga vita Magufuli na serikali yake? Ni muendelezo wa siasa za chuki za Chadema ambazo hakika haziisadii Tanzania isipokuwa ni kuirejesha nyuma. Kwa kweli tunahitaji upinzani na chama cha kuikosoa serikali ya CCM lakini sio ukosoaji huu wa kipuuzi tunaoushuhudia kutoka Chadema na washirika wake. Yaani upinzani umegeuka kuwa wapingaji maendeleo. Nitashangaa sana kumuona mtanzania mwenye kujitambua na hasa kwa wale ambao wamejaaliwa kuwa na elimu na wanauwezo wa kulisaidia taifa kupiga hatua katika maendeleo wakibaki kule Chadema kufanya kazi ya kulisaliti taifa kutofikia mikakati yake ya kujinasua kutoka katika hali ya umasikini. Wakati wa kumka na kumuunga mkono magufuli kwa watanzania umefika aidha unampenda au humpendi Magufuli ni mtaji ambao watanzania wanatakiwa kuuchunga vyema kwani faida yake ni kubwa kwa taifa.
ReplyDelete