Mwakyembe Ametembelea Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwakyembe Ametembelea Uwanja wa Kumbukumbu ya  Sheikh Amri Abeid
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe leo ametembelea uwanja wa kumbukumbu ya  Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Waziri Mwakyembe akiwa ameambatana na Rais wa TFF Wallace Karia pamoja na Kaimu Katibu mkuu wa TFF Kidao Wilfred amejionea maendeleo ya marekebisho yanayofanyika kwenye Uwanja huo.
Uwanja huo upo kwenye marekebisho ili kuboresha eneo la kuchezea (Picha) pamoja na majukwaa na maeneo mengine ya uwanja kama ubora wa vyoo na mabafu.

Waziri Mwakyembe na viongozi hao wa TFF wameambatana na wenyeji wao ambao ni viongozi wa chama cha soka mkoani humo ARFA na wamewaonesha maeneo mbalimbali ya uwnaja huo ambayo tayari yameshaekebishwa na yake ambayo bado.
Mwakyembe yupo mkoani Arusha tangu jana akiwa ameenda kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo ufunguzi wa ligi kuu soka ya wanawake Tanzania bara. Katika mchezo wa uzinduzi Allience Queens ya Mwanza ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Panama FC.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad