Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Snura Ajipongeza Kulea Familia Bila Mzazi Menzie "Lazima Nijiandalie Tuzo Kulea Familia Mwenyewe si Jambo Dogo"
MWANAMUZIKI aliyejizolea jina kubwa kupitia wimbo wake wa ‘Majanga’ Snura Mushi amefunguka kuwa anatarajia kujipa tuzo ya kupambana mwenyewe kwenye maisha akiwa kama baba na mama kwa wakati mmoja.

Akizungumza na Showbiz Snura alisema kuwa, wanawake wengi siku hizi wamekuwa wapambanaji peke yao hivyo basi siyo vibaya kujitukuza.

“Kulea familia mwenyewe siyo kazi ndogo na siku hizi wanawake wengi tunapitia hili hivyo mimi mwenyewe najiandalia tuzo kabisa angalau nijipe moyo nizidi kutafuta kwa ajili ya wanangu,” alisema Snura
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad