Steve Nyerere Amekata Mzizi wa Fitina na Kusema “Hatuwezi Kuacha urafiki na Wema"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Steve Nyerere Amekata Mzizi wa Fitina na Kusema “Hatuwezi Kuacha urafiki na Wema"
Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza nchini lakini pia ni msanii wa Filamu, Steven Nyerere amekata mzizi wa fitin ana kudai kuwa hana tatizo lolote na malkia wa filamu Bongo Wema Sepetu.

Kauli ya Steve imekuja baada ya kuzagaa habari kuwa waili hao kwa sasa hawana mawasiliano mazuri.

“Hatuwezi kuacha urafiki na Wema coz Wema ni dada, ni mtu ambaye tume hangaika naye kuhakikisha kwamba tumafika hapa tulipo na mimi nataka kusema Wema ni mzalendo wa taifa la Tanzania labda tu tumegewajika katika vyama,” amesema Steve katika mahojiano aliofanya na Bongo5.

Akaongeza “Nachotaka kusema kuwa Wema atakuwa Wema na Stev ataendelea kuwa Steve kwa sababu wote ni binadamu hujui kesho nani atakuzika. Sasa ni dada na tuna wasiliana na bado tunaendelea kupendana kaka dada na kaka.”

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad