AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Katika mahojiano yake na Global TV, Mama Ashura ambaye kwa mara kadhaa amekuwa akimkosoa staa wa Bongo Fleva, Ally Kiba ‘King Kiba’, kutokana na kazi yake ya muziki, amesema kuwa hata kama akizindua wimbo wake, bado atahudhuria na atamkosoa vilevile, huku akidai kuwa hamjui mchekeshaji, Mkali Wenu ambaye waliwahi wakifanya kazi kwa pamoja. VIDEO:
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mama ashura ni mfa maji unatafuta kiki mshamba wewe rembukeni jitambue kwanza then talk abt people
ReplyDelete