Lady Jay Dee Afunguka Kuhusu Kumganda Mpenzi Wake Spicy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya mwanadada ‘lejendari’ kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ kufanya vyema na Ngoma ya Together Remix akiwa na mpenzi wake, Spicy, staa huyo amejipanga kutengeneza naye ngoma tena.

Akichonga na Showbiz, Jay Dee alisema kwamba ameamua kurudi tena na Spicy na ngoma mpya ya Baby baada ya kolabo ya Together Remix kufanya vizuri ambapo anaamini itampeleka mbali zaidi kimuziki kuliko alipo kwa sasa.

“Nimeamua kumganda Spicy kwa sababu ninaamini ni mwanamuziki mzuri na muungano wetu huwa unafanya vizuri, angalia ngoma iliyopita na hii utagundua kwamba tunapokuwa pamoja tunatengeneza kitu kizuri sana,”alisema Spicy.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad